Nyota wa Simba apona na kurejea

Mlinzi wa kati wa timu ya Simba Salim Mbonde amepona majeraha yake na ameanza rasmi mazoezi chini ya Kocha wa Viungo 'Fitness Coach' Mohammed Hbibi kwaajili ya kujiandaa kuanza kucheza.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS