''Ni Madrid na PSG sio Ronaldo na Neymar'' Kocha wa Real Madrid Zinedine Zidane amesema mchezo wa kesho ligi ya Mabingwa Ulaya kati ya timu yake na PSG ya Ufaransa sio ushindani wa mchezaji mmoja mmoja bali ni mchezo wa timu mbili. Read more about ''Ni Madrid na PSG sio Ronaldo na Neymar''