Sakata la Yanga SC latuwa Bungeni Sakata la Klabu ya Yanga kuzuiliwa kufanya mazoezi katika uwanja wa Taifa lililotokea siku ya jana (Alhamisi) limezua sura mpya na kufanya Waziri mwenye dhamana Dkt. Harrison Mwakyembe kulitolea ufafanuzi Bungeni. Read more about Sakata la Yanga SC latuwa Bungeni