Nikki wa Pili ageukia ndoa Msanii kutoka kampuni ya Weusi, Nikki wa Pili amefunguka na kuitaka jamii hasa watu waliopo kwenye ndoa kuacha tabia ya kusuluhisha matatizo yao kupita majirani na badala amewashauri wafanyie chumbani. Read more about Nikki wa Pili ageukia ndoa