Mwalimu ajinadi kuisaidia timu ya VPL Baada ya klabu ya soka ya Kinondoni Municipal Council (KMC) kufanikiwa kupanda ligi kuu, mgombea Ubunge wa Jimbo la Kinondoni kupitia CHADEMA, Salum Mwalimu amesema anajipanga kuisaidia timu hiyo. Read more about Mwalimu ajinadi kuisaidia timu ya VPL