Bomba la gesi kutoka Mtwara lawaka moto Moto mkubwa unawaka eneo la Buguruni kwa Mnyamani baada ya mafundi wa Dawasco kutoboa bomba la gesi kutoka Mtwara kimakosa, na kuleta madhara kwa nyumba za jirani. Read more about Bomba la gesi kutoka Mtwara lawaka moto