Lulu aweka wazi kuhusu kupigwa kibuti
Baada ya kusambaa kwa video mitandaoni ikimuonesha msanii Lulu Diva akilia kwa uchungu na kuhusishwa kuachwa na 'sponser' (mfadhili ) anayemuweka mjini, msanii huyo amesema kwamba hawezi kulia kwa kuachwa kwani hapungukiwi na chochote

