Barcelona, Coutinho na Suarez waweka rekodi Klabu ya soka ya Barcelona ya nchini Hispania usiku wa kuamkia leo imefanikiwa kutinga fainali ya Kombe la Mfalme (Copa del Rey) baada ya kuitupa nje Valencia kwenye mchezo wa nusu fainali. Read more about Barcelona, Coutinho na Suarez waweka rekodi