Waziri Mkuu Mstaafu ahukumiwa miaka mitano Polisi nchini Bangladesh wamekabiliana na maelfu ya waandamanaji wanaopinga kufungwa jela miaka mitano kwa kiongozi wa upinzani nchini humo Khaleda Zia kwa tuhuma za rushwa. Read more about Waziri Mkuu Mstaafu ahukumiwa miaka mitano