Mkuu wa mkoa atumbua zaidi ya 30

Mkuu wa mkoa wa Manyara Bw. Alexander Mnyeti ametengua nafasi za wakuu wa shule za msingi zaidi ya 30 pamoja na maafisa elimu kata 13 wa halmashauri ya wilaya ya Kiteto kutokana na kuzembea kazini na kusababisha wilaya kushuka kitaaluma

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS