Mabasi ya mikoani kusafiri saa 24 Mamlaka ya Usafiri wa Majini na nchi kavu Tanzania (SUMATRA) imetoa maelezo kwa nini inakusudia kuruhusu mabasi yanayofanya safari zake kwenda mikoani, kufanya safari zake kwa saa 24. Read more about Mabasi ya mikoani kusafiri saa 24