Bocco ateuliwa kuiongoza Simba Baada ya kukaimu nafasi ya unahodha wa kikosi cha Simba SC kwa miezi kadhaa leo rasmi mshambuliaji John Bocco ameteuliwa kuwa nahodha kamili wa vinara hao wa ligi kuu soka Tanzania Bara. Read more about Bocco ateuliwa kuiongoza Simba