"Nilimpa nafasi Nandy asikike"- Ruby
Msanii wa kizazi kipya ambaye kwa sasa amerudi na ngoma aliyoipa jina 'Are U Ready' amejibu swali la wapenzi wengi wa burudani kwamba aliamua kuwa kimya kwa muda mrefu ili kumpatia nafasi msanii mwenzake Nandy na siyo kwamba alikuwa akimuogopa.