Yanga yatangaza kikosi cha CAF Klabu ya soka ya Yanga imetangaza kikosi chake kitakachoshiriki klabu bingwa Afrika (CAF Champions) msimu huu. Yanga inashiriki kupitia tiketi yake ya kuwa bingwa wa Tanzania Bara msimu wa 2016/17. Read more about Yanga yatangaza kikosi cha CAF