East Africa Radio yaongeza wigo wa michezo

East Africa Radio imeenza mwaka mpya wa 2018  kwa kuwaletea wasikilizaji wake na wapenzi wa michezo kipindi kipya cha michezo 'Kipenga Xtra'  kinachoruka saa 6:00 hadi saa 7:00 mchana, Jumatatu hadi Ijumaa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS