Jaji Mkuu akamatwa na Polisi Polisi nchini Maldives imemkamata Jaji Mkuu wa Mahakama ya Juu nchini humo huku mgogoro wa kisiasa ukiendelea kuwa katika hali mbaya kwenye nchi hiyo iliyoko katika bahari ta Hindi. Read more about Jaji Mkuu akamatwa na Polisi