Chirwa atuma ujumbe kwa Wanayanga Nyota wa kimataifa wa Yanga Obrey Chirwa amewaandikia ujumbe mzito mashabiki wa soka nchini hususani wale wa klabu yake ya Yanga baada ya kuonekana kumbeza anapokosa Penalti. Read more about Chirwa atuma ujumbe kwa Wanayanga