Watatu wakamatwa na Jeshi la Polisi Jeshi la Polisi mkoa wa Mbeya limewakamata vijana watatu maeneo ya Mwanjelwa, Kata ya Ruanda Tarafa ya Iyunga Jijini Mbeya wakiwa na nyara za serikali ambazo ni vipande vinne vya meno ya Tembo. Read more about Watatu wakamatwa na Jeshi la Polisi