Timu ya ligi kuu yafanya mabadiliko Timu ya Mbeya City inayocheza ligi kuu soka Tanzania bara imefanya mabadiliko madogo kwenye benchi lake la ufundi kuelekea mchezo wake wa ligi dhidi ya Tanzania Prisons. Read more about Timu ya ligi kuu yafanya mabadiliko