Azam FC yagoma kuikimbia Simba Klabu ya soka ya Azam FC imesema haina mpango wa kuweka kambi nje ya uwanja wake wa Azam Complex kwaajili ya kujiandaa na mchezo wake dhidi ya Simba SC. Read more about Azam FC yagoma kuikimbia Simba