Mbowe ashangazwa kupigwa marufuku
Mwenyekiti CHADEMA Taifa, Mhe. Freeman Mbowe amesema ameshangazwa kupigwa marufuku kutoa salamu ya vyama vingine katika mikutano ya uchaguzi inayoendelea kufanyika huku akidai sheria hiyo haipo bali ni sheria ya hofu.

