Mchezaji wa Azam FC aondolewa kikosini ghafla Klabu ya Mabingwa Afrika Mashariki na Kati, Azam FC imemuondoa mchezaji wake Yahya Zayd kwenye kikosi kinachotarajiwa kucheza leo dhidi ya Kagera Sugar FC baada ya kuugua ghafla mchana huu. Read more about Mchezaji wa Azam FC aondolewa kikosini ghafla