Mkuu wa Mkoa aanza kushawishi madiwani wa CHADEMA
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti amewataka madiwani wa vyama vya upinzani kujiunga na CCM ili waweze kushirikiana naye kutekeleza ilani ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi kwa kuwa ndiyo serikali iliyopo madarakani.

