Lowassa amuomba Rais Magufuli
Waziri Mkuu mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA, Mhe. Edward Lowassa amefunguka na kuiomba serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais John Magufuli kusikiliza maoni ya wananchi wanayotoa katika mambo mbalimbali na kuyachukulia hatua stahiki

