Alichosema Wakili Kibatala baada ya kumtosa Wema
Baada ya Wakili Peter Kibatala kujitoa kwenye kesi ya Muigizaji Wema Sepetu, wakili huyo amesema kwamba hawezi kuanika sababu za kuachana na kesi ya mteja wake huyo kwani ni kinyume na maadili ya kazi zao.