Chirwa aipandisha boti Yanga Klabu ya soka ya URA imefanikiwa kutinga hatua ya fainali ya michuano ya Mapinduzi baada ya kuitoa Yanga SC kwa mikwaju ya Penalti kwenye uwanja wa Amaan jioni hii. Read more about Chirwa aipandisha boti Yanga