Makabila ayakimbia mapenzi

Baada ya kuingia kwenye kashfa ya kugombanisha wanawake kwa mwaka 2017, Msanii wa Singeli Dullah Makabila amesema mwaka huu hataki kuendekeza suala la wanawake ingawa anaamini kuwa kama ni warembo wapo tu na ataapata.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS