"Familia ya Marehemu inanisumbua"– Manfongo Msanii wa Singeli Bongo maarufu kwa jina la Manfongo amesema sasa hivi anapata usumbufu mkubwa kutoka kwa familia ya marehemu Mbaraka Mwinshehe, ambaye ametumia kionjo cha wimbo wake. Read more about "Familia ya Marehemu inanisumbua"– Manfongo