Serikali yawapa agizo watoa ajira nchini
Serikali ya Tanzania imewataka watoa ajira wote nchini kwa vijana wanaoendesha bodaboda na bajaji kuwapa mikataba ya kazi vijana hao ili iweze kuwalinda na kuwasaidia katika kupata huduma nyingine pindi wapatapo matatizo kwenye shughuli zao.

