JPM awatoa wasiwasi Watanzania Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli amewatoa wasiwasi wananchi kwa kusema wazi kwamba anatamani siku moja ifike naye aitwe mzee mstaafu wa taifa hilo kama alivyo Kikwete na wengine. Read more about JPM awatoa wasiwasi Watanzania