Msimamo wa Ronaldo ndani ya Real Madrid

Nyota wa mabingwa wa ligi kuu ya Hispania Real Madrid Cristiano Ronaldo, amesema ana mapenzi makubwa na klabu hiyo hivyo tetesi za yeye kuondoka si za kweli na wala hana mpango wa kuondoka Bernabeu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS