Azam yapigwa faini, yaombwa ushahidi Kamati ya Usimamizi na Uendeshaji wa ligi kupitia kwa Afisa Mtendaji mkuu wa Bodi ya ligi Boniface Wambura imetangaza kuipiga faini ya shilingi laki 5 klabu ya Azam FC. Read more about Azam yapigwa faini, yaombwa ushahidi