Griezmann aomba radhi

Winga wa klabu ya Atletico Madrid na timu ya taifa ya Ufaransa Antoine Griezmann ameomba radhi baada watu wengi kuonesha kukerwa na kitendo chake cha kujipaka rangi nyeusi kama sehemu ya utani wa kubadilisha sura.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS