Kenya yalipa kisasi dhidi ya Zanzibar
Timu ya taifa ya Kenya Harambee Stars imelipa kisasi dhidi ya timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes kwa kuifunga katika mchezo wa fainali ya CECAFA Senior Challenge uliomalizika jioni hii kwenye uwanja wa Kenyatta Machakos Kenya.