Rais Magufuli amwaga mamilioni kwa Wastara
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mke wake Mama Janet Magufuli hii leo wamemchangia muigizaji wa filamu Tanzania Wastara Juma shilingi milioni 15, kumsaidia katika matibabu yake.

