Nikki ajibu tuhuma za Joshua Nassari
Msanii kutoka kampuni ya Weusi, Nikki wa Pili amemjibu Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari kwamba si kweli kuwa wameamua kumtumikia 'kafiri' ila kimsingi wao hawana ufahamu wa kuongelea masuala ambayo bado yanaendelea Kimahakama.

