Abdukiba amkingia kifua Alikiba Msanii Abdukiba kutoka ‘Label’ ya ‘Kings Music’ amekanusha maneno ya watu kuwa bosi wa ‘Label’ hiyo Alikiba ambaye pia ni kaka yake alikuwa akimzuia kwenye muziki. Read more about Abdukiba amkingia kifua Alikiba