Simba yazikimbia Yanga na Azam

Klabu ya soka ya Simba SC imezidi kujichimbia kileleni baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Majimaji FC ya Songea kwenye mechi iliyomalizika jioni hii uwanja wa taifa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS