Viongozi CHADEMA washindwa kufikishwa mahakamani Mawakala na viongozi wa CHADEMA waliokamatwa wakati wa uchaguzi mdogo wa marudio Novemba 26 wameshindwa kufikishwa mahakamani leo kwa kukosa polisi wa kuwasindikiza. Read more about Viongozi CHADEMA washindwa kufikishwa mahakamani