Watu 40 watuhumiwa kuuwa watu wawili

Jeshi la Polisi mkoa wa Mara linawashikilia watu zaidi ya  40, wakazi wa Kijiji cha Mikomariro wilayani Bunda kwa tuhuma za mauaji ya watu wawili sababu ikitajwa kuwa ni mgogoro wa mpaka wa shamba.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS