Ajibu awapigia magoti wanayanga Baada ya kutolewa katika michuano ya kombe la mapinduzi kwa kipigo cha penalti 5-4 dhidi ya URA, Mshambuliaji wa Yanga, Ibrahim Ajibu Migomba ameomba radhi kwa mashabiki wa timu hiyo kutokana na matokeo hayo mabaya. Read more about Ajibu awapigia magoti wanayanga