Sitegemei Show za Dar - Izzo Bizness Msanii Izzo Bizness Msanii kutoka 'Green City' akiwakilisha kundi la The Amaizing, Izzo Bizness amedai hawezi kulala njaa kusubiri simu za promota kwa ajili ya show kwani kipaji anacho ndio maana anajiongeza zaidi mikoani. Read more about Sitegemei Show za Dar - Izzo Bizness