Shamsa Ford akiwa na Mume wake Rashid ' Chiddy Mapenzi'
Muigizaji wa filamu bongo Shamsa Ford amefunguka na kusema kwamba hataweza kukubali Mume wake kuongeza mke wa pili kama hataweza kumpa sababu maalumu kwa kuwa anaamini anamtosheleza mume wake kwa kila kitu.