Samia awataka mawaziri wawili kufika Mara
Makamu wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu ametoa agizo kwa mawaziri wawili wa Ardhi , William Lukuvi na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kufika mkoani Mara haraka iwezekanavyo kutatua changamoto za sekta ya afya na migogoro ya ardhi ambayo ni kero kubwa.

