Warriors yabakiza mechi kutwaa ubingwa NBA
Kevin Durant aliweka mrusho wa pointi 3 (three-pointer), zikiwa zimebaki sekunde 45.3, na kufunga jumla ya pointi 31, wakati Golden State Warriors wakiichapa Cleveland Cavaliers 118-113 usiku wa kuamkia leo, na kuongoza 3-0 hadi sasa.

