Bajeti Mpya yampatia sifa JPM Rais John Pombe Magufuli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amepokea pongezi kutoka kwa Balozi wa China nchini Dkt. Lu Youging kwa bajet iliyowasilisshwa jana bungeni Mjini Dodoma na waziri wa Fedha kwa kusema imelenga kuongeza maendeleo. Read more about Bajeti Mpya yampatia sifa JPM