VIDEO: Siwezi kumshirikisha Vanessa - Mimi Mars

Mimi Mars

Msanii anayechipukia kutoka 'Mdee Music' Mimi mars amefunguka na kuweka wazi kwamba hataweza kushirikiana na dada yake Vanessa Mdee katika kuandaa kazi ya pamoja kwa kipindi hiki kwa sababu ya mashabiki zake bado wanashindwa kutofautisha sauti zao

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS