Siwezi kumkimbia Roma - Moni Msanii anayewakilisha kanda ya kati, Moni Centrozone ametoa ya moyoni kamwe hawezi kumtenga msanii Roma kwa sababu alipata matatizo hivi karibuni kwani ni mtu aliyemshika mkono kwenye 'game' ya bongo fleva. Read more about Siwezi kumkimbia Roma - Moni