Masha, Wenje warudishwa tena kuchuana ubunge EALA

Walioteuliwa kwenda kugombea Ubunge EALA

Baada ya kushindwa kukidhi vigezo katika hatua ya kwanza, kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) sasa imewateua wanachama wake sita kuenda kugombea Ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) kwa kupigiwa kura na bunge la Tanzania.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS