Kikosi cha Simba SC leo dhidi ya Azam FC

Kikosi cha Simba SC

Vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba SC leo wanashuka dimbani kuvaana na Azam FC katika hatua ya Nusu Fainali ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Tanzania Bara utakaofanyika kwenye uwanja wa Taifa Jijini Dsm.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS